SEO
SEO (kifupi cha maneno ya Kiingereza: Search engine optimization) ni utaratibu wa kuongeza ubora na wingi wa watembeleaji wa tovuti kwa kuongeza upatikanaji wa tovuti au ukurasa wa tovuti kwa watumiaji wa tovuti za kutafuta kurasa na habari mtandaoni.[1]
Utaratibu huo unajumuisha tu uboreshaji usiotumia malipo ya matangazo.
Utaratibu huo unajumuisha tu uboreshaji usiotumia malipo ya matangazo.
SEO inawexa kulenga tovuti za kutafuta za aina mbalimbali kama vile utafutaji wa picha, utafutaji wa video, majarida ya kitaaluma, [2] utafutaji wa habari na utafutaji wa kisekta.
Uboreshaji wa tovuti unaweza kujumuisha kuhariri habari zilizomo kwenye tovuti hiyo, kuboresha HTML na mbinu nyingine nyingi.[3] Baadhi ya mbinu zinakubalika na tovuti za kutafuta ile mbinu nyingine huonekana kuwa ni za ulaghai.[4]
Kama mbinu ya kujitangaza mtandaoni, SEO inatazama jinsi tovuti za kutafuta zinavyofanya kazi, algorithm zinazoonyesha tabia za tovuti za kutafuta, maneno yanatotumiwa na watafutaji, n.k.
Historia[hariri | hariri chanzo]
Waangalizi wa tovuti na watoa habari walianza kuboresha tovuti kwa njia hiyo toka katikati ya 1990. Mwanzoni, waangalizi wa tovuti walitakiwa kutuma anwani za tovuti zao kwa tovuti za kutafuta.[6]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ SEO - search engine optimization.
- ↑ Beel, Jöran and Gipp, Bela and Wilde, Erik (2010). Academic Search Engine Optimization (ASEO): Optimizing Scholarly Literature for Google Scholar and Co. 176–190. Journal of Scholarly Publishing. Iliwekwa mnamo April 18, 2010.
- ↑ "SEO Hacks" June 14, 2019.
- ↑ "What is Blackhat SEO?" June 14, 2019.
- ↑ "Inside AdWords: Building for the next moment" Google Inside Adwords May 15, 2015.
- ↑ Brian Pinkerton. Finding What People Want: Experiences with the WebCrawler (PDF). The Second International WWW Conference Chicago, USA, October 17–20, 1994. Iliwekwa mnamo May 7, 2007.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Web Development Promotion katika Open Directory Project
- Google Webmaster Guidelines
- Google Search Quality Evaluators Guidelines, July 20, 2018 (PDF)
- Yahoo! Webmaster Guidelines
- Bing Webmaster Guidelines
- "The Dirty Little Secrets of Search", article in The New York Times (February 12, 2011)
- Google I/O 2010 – SEO site advice from the experts katika YouTube – Technical tutorial on search engine optimization, given at Google I/O 2010.
| Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
source http://tessrijogo.blogspot.com/2019/11/seo-kifupi-cha-maneno-ya-kiingereza.html
Комментариев нет:
Отправить комментарий